Chad yashinda uenyekiti Kamisheni ya AU

Moussa Faki Mahamat

Waziri wa Mambo ya Nje wa Chad, Moussa Faki Mahamat, leo amechaguliwa na viongozi wa Afrika jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kuwa Mwenyekiti mpya wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS