Azam dakika 900, bao moja

Klabu ya Azam FC usiku wa jana imetimiza jumla ya dakika 900 sawa na mechi 10 (10X90) bila kupoteza mchezo hata mmoja, huku ikiruhusu bao moja pekee kugusa nyavu zake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS