Kagera Sugar yatusua licha ya majonzi

Mechi ya leo kati ya Kagera na Mtibwa Sugar, katika dimba la Kaitaba Bukoba

Kikosi cha wakata miwa wa Kagera Sugar hii leo licha ya kuwa kwenye majonzi ya kuondokewa na mchezaji wao David Burhan, kimepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenzao wa Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa Mjini Bukoba

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS