Mangwea awatokea Cpwaa na Noorah
Ikiwa sasa ni miaka minne na miezi kadhaa imepita tangu Rapa Albert Mangwea kufariki dunia, wasanii Noorah pamoja na Cpwaa kwa pamoja wamejikuta wakifanya mpango wa kuingia studio na kurudi na nguvu mpya wakidai kuwa ni maagizo aliyowapa ndotoni.