ACT-Wazalendo yamleta Tanzania Julius Malema
Kiongozi machachari kutoka chama cha upinzani nchini Afrika Kusini cha Economic Freedom Fighter – EFF Bw. Julius Malema ni mmoja wa viongozi wanaotarajiwa kuwasili nchini kuhudhuria mkutano utakaondaliwa na chama cha upinzani cha ACT Wazalendo.