Bibi wa miaka 87 auawa kwa Imani za kishirikina

Bundala Rajabu mwenye umri wa miaka 32 mkazi wa Kijiji cha Ndami wilayani Kwimba mkoani Mwanza anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumuua kwa kumziba pua na kumkaba kooni bibi wa miaka 87 anayeitwa Mariam Nyanda kwa Imani za kishirikina

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS