Mbeya City yakamia pointi 3 za Mwadui

Wachezaji wa Mbeya City

Klabu ya Mbeya City FC imetamba kuondoka na pointi 3 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Mwadui FC  unaopigwa jioni ya leo katika dimba la Mwadui Complex Shinyanga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS