Serikali yatetea ada za uhakiki wa filamu Anastazia Wambura Serikali imetetea ada za uhakiki wa filamu zinazotozwa hapa nchini na kusema kuwa ada hizo zipo kwa mujibu wa sheria na kanuni, huku ikifafanua kuhusu utaratibu wa kulipwa kwa ada hizo. Read more about Serikali yatetea ada za uhakiki wa filamu