Askari mbaroni kwa kuua na kujeruhi
Jeshi la polisi mkoa wa Arusha, linawashikilia Askari wanne wa SUMA JKT kwa tuhuma za kuhusika kuwaua wafugaji wanne kwa kuwapiga risasi na kuwajeruhi wengine watano kwenye vurugu zilizotokea eneo la Oldobnyo Sambu wilayani Arumeru.