Kilichoanza kumpa jeuri Mwambusi, hiki hapa

Makocha wa Yanga wakiwa katika mazoezi ya timu

Kocha msaidizi wa Yanga Juma Mwambusi amefunguka na kusema kuwa sasa kikosi cha Yanga kimekamilika kwani wachezaji wote ambao walikuwa majeruhi wameanza mazoezi na hali zao ziko vizuri.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS