Man Fongo atamani kurudi kwenye vigodoro Man Fongo Msanii wa muziki singeli Man Fongo amesema anakumbuka alipoanzia muziki wake kwa kuimba nyimbo za vigodoro na ipo siku atarudi uswahilini kuwaimbia mashabiki zake. Read more about Man Fongo atamani kurudi kwenye vigodoro