Serena atinga nusu fainali ya Australian Open Serena Williams Serena Williams amezidi kujiwekea mazingira ya kutaka kutwaa taji la 23 la Gland Slam, baada ya kumchapa Johanna Konta na kutinga nusu fainali ya mashindano ya wazi ya Australia. Read more about Serena atinga nusu fainali ya Australian Open