Polepole awaonesha CUF aliko 'mchawi' wao
Katibu wa Itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi CUF, kwa mara ya kwanza amezungumzia kile alichokita "kukataliwa" kwa Chama cha Wananchi CUF katika maeneo mbalimbali hasa Zanzibar huku akikielekeza jinsi ya kumpata "Mchawi" wake