Mwana FA ataja wasanii ambao hatafanyanao kazi
Rapa Mwana FA ambaye kwa sasa anafanya vyema na ngoma yake 'Dume Suruali' amefunguka na kuweka wazi kuwa hana mpango kwa sasa kufanya kazi na wasanii kama Lady Jaydee, Prof Jay, Juma Nature na wengine wengi.