Serengeti Boys 'yachungulia' fainali za Afrika
Shirikisho la Soka nchini TFF limesema linasubiri maamuzi ya Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (CAF) kuhusu hatma ya timu ya taifa ya vijana ya Serengeti Boys kufuzu ama kutofuzu michuano ya Afrika kwa vijana.