Jinsi kijana alivyombaka mtoto wa miaka 5

Maeneo ya ufukwe wa Igombe Jijini Mwanza ambako inaaminika kutokea tukio hilo

Kijana aliyejulikana kwa jina la Petro Magayane miaka 22 mkazi wa Igombe Jijini Mwanza anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kumbaka na kumjeruhi katika sehemu zake za siri mtoto mwenye umri wa miaka 5 ambaye ni mkazi wa eneo hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS