Lulu aanika kilichofanya amwage Nay wa Mitego
Muuza sura kwenye video za Kibongo na msanii mpya wa bongo Fleva, Lulu Abbas maarufu 'Lulu Diva' amefunguka na kuweka wazi kuwa aliamua kumuacha rapa Nay wa Mitego kutokana na tabia zake za hapa na pale.