Kocha wa Algeria 'abwaga manyanga' George Leekens Siku moja mara baada ya kutolewa kwa kikosi chake kwenye hatua ya makundi ya michuano ya mataifa ya Afrika, AFCON 2017, kocha wa timu ya taifa ya Algeria George Leekens amejiuzulu. Read more about Kocha wa Algeria 'abwaga manyanga'