AT atangaza balaa mwaka 2017
Msanii AT ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Sili feel' amefunguka na kusema kuwa mwaka huu 2017 haitaji mchezo mchezo na kusema amejipanga vyema kuona anarudisha heshima yake na kukaa kileleni kabisa kwa kazi nzuri atakazo kuwa anaachia.