Yamoto Band wakiwa na meneja wao, Chambuso (katikati)
Mmoja wa wasanii wa kundi la 'Yamoto Band' Enock Bella ameibuka na kukiri kuwa ni kweli walikuwa na tofauti na uongozi wao na kwamba hiyo ndiyo sababu ya kundi hilo kushindwa kutoa kazi mpya kwa muda mrefu.