Kilichoipa CCM ushindi chaguzi ndogo hiki hapa

Nembo rasmi ya CCM

Chama cha Mapinduzi kimewashukuru watanzania kwa kukipa ushindi mkubwa katika chaguzi ndogo za madiwani na ubunge zilizofanyika mwishoni mwa wiki huku kikiweka hadharani siri ya ushindi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS