Mechi ya Simba na Yanga yapigwa kalenda Mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara baina ya mahasimu, Simba na Yanga umesogezwa mbele hadi Februari 25, kutoka Februari 18, mwaka huu. Read more about Mechi ya Simba na Yanga yapigwa kalenda