Stara afichua kinachowapa umasikini wasanii

Mtangazaji wa kipindi cha Planet Bongo Dullah akiwa na mwanamuziki Stara Thomas katika studio za East Africa Radio.

Mwanamuziki mkongwe wa kike nchini Stara Thomas amefunguka na kusema kuwa kuna sababu nyingi sana kwa wasanii wa kike hata wakiume kushuka kimuziki na moja ya sababu kubwa ni kuendekeza sana mapenzi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS