Mbunge Mteule wa JImbo wa Dimani Zanzibar Juma Ali Juma wakati wa kampeni
Mshindi wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Dimani Visiwani Zanzibar Juma Ali Juma ameahidi kuzibeba kero za wananchi wa jimbo hilo na kuwasilisha serikalini kwa ajili ya kupatiwa ufumbuzi wa haraka