Manahodha Azam waichimba mkwara Simba Simba na Azam katika mchezo wa mzunguko wa kwanza Siku ya Jumamosi ya Februari 28 Azam FC itakuwa kibaruani kuvaana na Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara utakaopigwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Read more about Manahodha Azam waichimba mkwara Simba