Ndugu wawili wakutana fainali Australian Open
Ndugu wawili raia wa Marekani Serena na Venus Williams watakutana kwenye fainali ya grand slam kwa mara ya tisa kunako michuano ya wazi ya Australia kufuatia wanadada hao kushinda mechi zao za nusu fainali.