Vita ya maneno kati AY na Mona yafikia patamu

AY (Kushoto), Mona (Kulia)

Msani wa bongo fleva AY amewataka watayarishaji wa muziki kuwa karibu na wasanii wao kila wanapoenda kwenye 'tour' mbalimbali ili kuweza kujifunza mambo mengi zaidi na kuongeza ubunifu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS