Dino arudi kuikoa 'Bongo Movie' Dino Msanii wa Bongo Movie Dino amesema kwa sasa yupo tayari kurudi kwenye tasnia hiyo baada ya kukaa miaka minne bila kucheza movie yeyote hali iliyofanya ajifunze mengi nje ya movie. Read more about Dino arudi kuikoa 'Bongo Movie'