Khadija Kopa ataka mameneja wasimuogope

Khadija Kopa

Msanii wa taarabu Khadija Kopa amewasihi mameneja kujitokeza kuwadhamini na kuwasimamia wasanii wa taarabu ili waweze kufanikisha muziki wa tarabu kufika kimataifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS