Mechi yetu na Azam siyo ya kisasi - Mgosi
Kuelekea katika mchezo wa ligi kuu ya Soka Tanzania Bara utakaowakutanisha wekundu wa Msimbazi Simba SC dhidi ya Azam FC siku ya kesho Simba SC wamesema, mchezo huo siyo kisasi au upinzani kama mashabiki wengi wanavyofikiria.