Wafanyakazi wa Kim wafuta kila kitu baada ya kikao
Wafanyakazi wa Korea Kaskazini wamefuta kwa makini vitu vilivyoguswa na kiongozi mkuu wa nchi hiyo baada ya Kim Jong Un kukutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin mjini Beijing, katika kile ambacho wachambuzi wanasema ni sehemu ya hatua za usalama kukabiliana na majasusi wa kigeni.