Sheria kali kuelekea kombe la dunia 2026
Kuelekea katika michuano ya Kombe la Dunia 2026 Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) limepitisha mabadiliko ya sheria mpya za soka zitakazoanza kutumika katika michuano hiyo, lengo likiwa ni kurejesha nidhamu na heshima mchezoni.

