Msanii abakwa hadi kufa Chuo Kikuu Makumira Arusha
Marehemu Juliana Issa enzi za uhai wake
Msanii wa Nyimbo mbalimbali za kiutamaduni , Juliana Issa (22)amekutwa ameuawa na watu wasiojulikana kisha mwili wake kutupwa kwenye majaruba ya mpunga mkoani Arusha.