Kikapu Taifa Cup yasogezwa mbele hadi Desemba mosi Mchezo wa kikapu Mashindano ya Taifa Cup ya Mpira wa Kikapu yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi Desemba Mosi mwaka huu jijini Arusha badala ya Novemba 17 kama ilivyopangwa hapo awali. Read more about Kikapu Taifa Cup yasogezwa mbele hadi Desemba mosi