Serikali kuendelea kuboresha huduma ya Kangaroo

Dkt. Hamis Kigwangalla, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Serikali imesema inaendelea kuboresha na kuongeza vituo vya kuhudumia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati na wenye uzito mdogo katika kila wilaya ili kupunguza vifo vya watoto wachanga nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS