BMT yavitia kitanzini vyama vya riadha vya mikoa Wanariadha Tanzania Baraza la Michezo nchini limevitaka vyama vya riadha vya mikoa kufanya uchaguzi kabla ya Novemba 27 mwaka huu ili kuweza kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Chama Cha Riadha nchini RT Read more about BMT yavitia kitanzini vyama vya riadha vya mikoa