Bongo fleva haitapoteza muziki wa dansi - Nyoshi

Nyoshi el Sadat

Msanii wa dansi nchini Tanzania Nyoshi amesema muziki wa bongo fleva haujaua soko la muziki wa dance nchini ila kwa sasa kuna baadhi ya wadau wa radio na televisheni wameamua kusapoti muziki wa bongo fleva zaidi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS