Mwaka mmoja wa Magufuli, Muhimbili yazidi kunawiri
Tathmini ya vipimo vya Radiolojia vinavyojumuisha MRI, CT-SCAN, Utra-Sound na Plain X-Ray inaonesha kuwa kwa kipindi cha Desemba 2015 hadi Oktoba 2016 jumla ya wagonjwa 55,073 wamepimwa kwa kutumia vipimo hivyo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili