Simba, Yanga zasaka point 3 ugenini, Ligi Kuu Bara
Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea kesho (Jumatano) katika viwanja sita huku timu zote za Dar es Salaam zikiwa mikoani kupambana katika ligi hiyo inayotarajiwa kumaliza mzunguko wake wa kwanza Novemba 12, mwaka huu.