Tuna mambo mengi, siyo mikopo pekee - Serikali Mhandisi Stella Manyanya, Naibu Waziri wa Elimu Serikali imesema kuwa ina mambo mengi ya kushughulikia katika elimu na siyo mikopo ya elimu ya juu pekee, hivyo wanafunzi wanatakiwa kuwa wavumilivu. Read more about Tuna mambo mengi, siyo mikopo pekee - Serikali