Kenya yaongoza kwa uwekezaji nchini Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema Kenya ni nchi inayoongoza kwa uwekezaji nchini Tanzania ikilinganishwa na nchi nyingine za Bara la Afrika. Read more about Kenya yaongoza kwa uwekezaji nchini Tanzania