Wakuu wa mapori wapewa miezi 2 kuweka alama
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa miezi miwili na siku tisa kwa Wakuu wa Mapori ya Hifadhi za Misitu kuhakikisha wanaweka mawe ya alama (beacons) kwenye mipaka yao ili kuepusha migogoro na wanavijiji wanaowazunguka

