Serikali isimamie mauzo ya kazi za wasanii -Mtanga
Msanii wa vichekesho nchini ambaye kwa sasa anafanya kazi na kundi la Ze Comedy la EATV maarufu kama Mtanga ameiomba serikali isimamie mauzo ya kazi za wasanii kwa kuwa wasambazaji binafsi wanawaonea wasanii jambo ambalo linadidimiza tasnia ya sanaa