BOT yachukua usimamizi wa Benki ya Twiga Bancorp

Prof. Beno Ndullu

Benki Kuu ya Tanzania imetangaza rasmi kuchukua usimamizi wa Benki ya Twiga Bancorp kuanzia leo kutokana na upungufu wa mtaji wa benki hiyo kiasi cha kuwa na deni la Shilingi Bilioni 21.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS