Tanzania yaialika Finland kuwekeza kwenye viwanda
Serikali imewakaribisha wawekezaji kutoka nchi ya FINLAND kuja kuwekeza katika sekta mbalimbali nchini ikiwemo ya nishati katika kipindi hiki wakati ambapo taifa la Tanzania linaelekea katika uchumi wa viwanda.