Ukosefu ujuzi mahotelini kikwazo jijini Arusha
Imebainika kuwa kuzorota kwa biashara ya hoteli katika jiji la Arusha licha ya sababu nyingine pia linatokana na baadhi ya waajiri kutotaka kuwekeza kwa wafanyakazi wao katika kuwapa elimu ili kuweza kuhimili ushindani wa utoaji wa huduma bora mahote