Wasanii punguzeni matusi - Zahir Zorro Mkongwe wa muziki wa bongo Mzee Zahir Zorro amewataka wasanii wa muziki Tanzania kupunguza kuimba matusi katika nyimbo zao wakidhani wanatumia tafsida katika utunzi wa nyimbo zao. Read more about Wasanii punguzeni matusi - Zahir Zorro