Bodi ya Mikopo Serikali za Mitaa yaelemewa
Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa inakabiliwa na maombi makubwa ya mikopo kutoka katika halmashauri zake hadi kufikia shilingi bilioni 48.8 ikilinganishwa na shilingi bilioni 9.2 zinazotolewa sawa na asilimia 18.9.