Huyu ndiye msanii aliyewahi kwenda kwa mganga
Msanii wa bongo fleva ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa 'Samaki' Galatone amefunguka na kusema kuwa yeye aliwahi kwenda kwa mganga wa kienyeji kufanya makeke ili aone jambo ambalo linamsumbua.