Farid Musa mambo safi, kuondoka nchini muda wowote Farid Musa Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars Farid Musa anatarajia kwenda kujiunga na timu yake ya Tenerife inayoshiriki katika Ligi Daraja la Kwanza nchini Hispania. Read more about Farid Musa mambo safi, kuondoka nchini muda wowote